Pata taarifa kuu
DRC-UCHAGUZI-SIASA-MAANDAMANO

Mvutano waendelea kuhusu uchaguzi DRC

Watu kadhaa wafuasi wa upinzani walikamatwa jana wakati polisi waliposambaratisha maandamano ya upinzani waliojitokeza kumshinikiza rais Joseph Kabila kujiuzulu mwisho w amwaka huu na kutaka kuundwa kwa serikali ya mpito.

Upinzani uliistisha maandamano DRC siku ya Alhamisi Novemba 30, lakini mandamano hayo yalikua yalipigwa marufuku. Watu kadhaa walikamatwa Kinshasa (katika picha, 30
Upinzani uliistisha maandamano DRC siku ya Alhamisi Novemba 30, lakini mandamano hayo yalikua yalipigwa marufuku. Watu kadhaa walikamatwa Kinshasa (katika picha, 30 JUNIOR KANNAH/AFP
Matangazo ya kibiashara

Wito wa kuandamana uliotolea na kiongozi wa muungano wa upinzani Rassambalemnt elis Tshisekedi.

Miongoni mwa watu waliokamtwa ni Katibu mkuu wa chama cha UDPS Jean Marc Kabung na wabunge watatu wa chama hicho ambao baadaye waliachilwia huru.

Hata hivyo upande wa chama tawala wametupilia mbali madai kwamba upinzani umefaanikiwa katika maandamano hayo.

hali ya wasiwasi imeendelea kushuhudiwa nchini DRC, huku vyama vya upinzani vikiomba rais Kabila Ajiuzulu kabla ya tarehe 30 Desemba, 2017.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.