Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 11/12 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 11/12 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 10/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mugabe amtimua makamo wake na kumsafishia njia Bi Grace kurithi kiti chake

Mugabe amtimua makamo wake na kumsafishia njia Bi Grace kurithi kiti chake
 
Grace Mugabe,mke wa raisi wa Zimbabwe Robert Mugabe REUTERS/Philimon Bulawayo

Raisi Mugabe amemfuta kazi makamo wake Emmerson Mnangagwa wakati huu mkewe Grace Mugabe ambaye ni moja kati ya viongozi wa Zanu PF akisema yu tayari kurithi nafasi ya mumewe.
je hii inatoa taswira gani katika ujenzi wa mfumo wa siasa barani Afrika?

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana