Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Kujiuzulu kwa kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya, Kituo cha utamaduni wa ufaransa chazinduliwa Goma DRC

Kujiuzulu kwa kamishna wa tume ya uchaguzi Kenya, Kituo cha utamaduni wa ufaransa chazinduliwa Goma DRC
 
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kenya IEBC, Wafula Chebukati, akiwatahadharisha wanasiasa wakati wa mkutano wa wanahabari jijini Nairobi, Oktoba 18 2017. REUTERS/Thomas Mukoya

Makala ya mtazamo wako juma hili imeangazia kujiuzulu kwa mmoja wa makamishna wa tume ya uchaguzi nchini Kenya, Roselyne Akombe; mkutano wa viongozi wa nchi za maziwa makuu nchini Congo Brazzaville, hali ya kisiasa nchini DRC lakini pia usalama wa Somalia kuendelea kuzorota, wakati kimataifa masha mbulizi ya hivi karibuni nchini Afghanistan.

Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi. 


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • KENYA-SIASA-UCHAGUZI

  Kamishena wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya Roselyn Akombe ajiuzulu

  Soma zaidi

 • TANZANIA

  Kampuni ya Barrick yakubali kuilipa Tanzania dola za Marekani milioni 300

  Soma zaidi

 • DRC-UCHAGUZI

  CENI kuchapisha "kalenda ya kupiga kura" hivi karibuni DRC

  Soma zaidi

 • SOMALIA-UGAIDI

  Idadi ya vifo vya shambulizi la Mogadishu yafikia 358

  Soma zaidi

 • EU-UINGEREZA-USHIRIKIANO

  Viongozi wa Ulaya kukutana kwa kufufua mchakato wa kuindoa Uingereza katika EU

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana