Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Tume ya uchaguzi nchini DRC yataka siku 504 za ziada, upinzani nchini Kenya kujiondoa katika uchaguzi wa oktoba 26

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kauli ya tume ya uchaguzi nchini DRCongo Ceni kusema kwamba hakuna uwezekano wa kufanyika kwa uchaguzi kabla ya mwaka 2019 kuwa inahitaji siku 504 zaidi kujiandaa, upinzani nchini Kenya kutangaza kujiondoa katika uchaguzi wa marudio, kesi kuhusu kudunguliwa kwa ndege ya rais wa zamani wa Rwanda Juvenal Habyarimana, uchaguzi mkuu Liberia, na Ufaransa kupokea wakimbizi wa Chad na Niger, pia Marekani kushambulia rasi ya Pyongyang .

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini DRC, Corneile Naanga akihojiwa na wanahabari jijini Kinshasa, September 25 2017
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini DRC, Corneile Naanga akihojiwa na wanahabari jijini Kinshasa, September 25 2017 Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.