Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/08 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/08 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/08 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mauaji mapya yaripotiwa Beni Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo

Mauaji mapya yaripotiwa Beni Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo
 
Kikosi cha askari wa umoja wa mataifa nchini DRC Monusco kutoka Malawi kikipiga doria pembezoni mwa mji wa Oicha kilometa 4 na kambi ya UN Sonia Rolley/RFI

Makala hii ya habari rafiki imeangazia kuzorota kwa usalama mashariki mwa DRC, ambako imeripotiwa kuuawa kwa watu zaidi ya ishirini katika mapigano kati ya jeshi la Congo FARDC na waasi wa Uganda wa ADF wilayani Beni mwishoni mwa Juma lililopita. Hali ya utulivu ilishuhudiwa katika wilaya hiyo baada ya mauaji mengine miaka miwili iliyopita. Wasikilizaji wa DRC wamekuwa wengi kutoa mitazamo yao kuhusu mauaji haya mapya.

Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC

  Nani anachochea mauaji ya raia wilayani Beni ?

  Soma zaidi

 • DRC

  Waasi wa ADF NALU wawaua zaidi ya watu 30 mjini Beni

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana