Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Kupinga hukumu ya Kifo duniani

Imechapishwa:

Juma hili tunakuletea mada juu ya siku ya kupinga hukumu ya kifo duniani, mtaalamu wetu juma hili, Raymond Paul Kanegene, Afisa Programu, Utetezi na Uborehsaji kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, anatupasha kwa mapana zaidi. Makinika naye.

Kunyogwa kwa watu wa tano hadharani mjini Mashhad, nchini Iran.
Kunyogwa kwa watu wa tano hadharani mjini Mashhad, nchini Iran. (Photo : AFP)
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.