Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Ni rasmi sasa Drc haitafanya uchaguzi mwaka huu

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya habari rafiki,Ni rasmi sasa hakutakuwa na uchaguzi mkuu wa raisi mwishoni mwa mwaka huu nchini DRC kama ilivyokuwa ikitarajiwa,muda wa siku 90 wa kuitishwa kwa uchaguzi kabla ya Dec 31 2016 umepita.Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi CENI Corneille Nangaa amesema kwa sasa kipaumbele ni kutangaza kalenda ya uchaguzi.Je hatua hii itaathiri vipi mchakato wa amani nchini DRC?

Kiongozi wa Baraza la maaskofu nchini DRC Cenco
Kiongozi wa Baraza la maaskofu nchini DRC Cenco AFP/JUNIOR D.KANNAH
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.