Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 17/07 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 17/07 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Ni rasmi sasa Drc haitafanya uchaguzi mwaka huu

Ni rasmi sasa Drc haitafanya uchaguzi mwaka huu
 
Kiongozi wa Baraza la maaskofu nchini DRC Cenco AFP/JUNIOR D.KANNAH

Karibu katika makala ya habari rafiki,Ni rasmi sasa hakutakuwa na uchaguzi mkuu wa raisi mwishoni mwa mwaka huu nchini DRC kama ilivyokuwa ikitarajiwa,muda wa siku 90 wa kuitishwa kwa uchaguzi kabla ya Dec 31 2016 umepita.
Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi CENI Corneille Nangaa amesema kwa sasa kipaumbele ni kutangaza kalenda ya uchaguzi.

Je hatua hii itaathiri vipi mchakato wa amani nchini DRC?


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC

  Tume ya uchaguzi DRC yaahirisha kutangaza mshindi wa urais

  Soma zaidi

 • DRC-USALAM-SIASA

  Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi DRC akosolewa

  Soma zaidi

 • DRC-UCHAGUZI

  Joseph Kabila atoa wito kwa kuokolewa kwa mchakato wa uchaguzi DRC

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana