Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/10 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/10 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/10 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Fahamu Historia ya Kwa Mathias

Fahamu Historia ya Kwa Mathias
 
Jiwe la kumbukumbu la Mzee Mathias Kimiro, Kwa Mathias, Kibaha mjini, mkoani Pwani, nchini Tanzania. Karume Asangama(rfi-Kiswahili)

Fahamu historia ya Kwa Mathias, wilaya ya Kibaha mjini, mkoani Pwani, nchini Tanzania. Pamoja na mwendelezo ya masuala ya filamu nchini Tanzania, Amil Shivji, mtengeneza filamu nchini Tanzania akiendelea kutufafanulia mengi juu ya tasnia ya filamu nchini Tanzania. Pamoja na masuala ya muziki na lugha kama kawaida ya kila Jumapili.

 • Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

  Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

  Juma hili tunatupia jicho kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania. Tunatupia jicho moja ya kazi zake muhimu, Azimio la Arusha mwaka …

 • LE POSH: PARIS NDANI YA DAR

  LE POSH: PARIS NDANI YA DAR

  Juma hili tunakuletea onyesho la mitindo, Le Posh, Paris ndani ya Dar. Wadau wanazungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Radio France Internationale kinagaubaga. Pata habari, …

 • Mambo ya Historia na Le Posh

  Mambo ya Historia na Le Posh

  Juma hili tunakuletea sehemu ya pili ya mada juu ya historia ya eneo liitwalo Kwa Mathias, Kibaha Mjini, mkoa wa Pwani, nchini Tanzania. Kwenye utamaduni, tunakuletea …

 • Sanaa, Sinema na Muziki

  Sanaa, Sinema na Muziki

  Fuatilia mada juu ya sanaa, sinema na muziki. Mambo muruwa juu ya historia, utamaduni na muziki kwenye makala haya Changu Chako Chako Changu.

 • Sanaa na Sinema

  Sanaa na Sinema

  Fuatilia mada juu ya sanaa na wasanii nchini Tanzania kama ilivyoainishwa na Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, sehemu ya pili. Pia, tunakuletea mawili …

 • Sultan: Nembo ya Vyatu Vya Kitanzania

  Sultan: Nembo ya Vyatu Vya Kitanzania

  Juma hili tunakuletea maonyesho ya viatu ya Idris Sultan. Mchekeshaji, mwigazaji, mtangazaji wa redio, mfanyabiashara na aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother 2014. Sikiliza …

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana