Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wakimbizi wa Burundi wauawa DRC, kikao cha wabunge nchini Uganda chaahirishwa

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mauaji ya wakimbizi 39 wa Burundi mjini Kamanyola mashariki mwa DRC, tume ya uchaguzi nchini Kenya imetangaza kuwa oktoba 26 mwaka huu utafanyika uchaguzi wa marudio huku kukiwa vita ya maneno kati ya wanasiasa, kikao cha umoja wa mataifa mjini New York, Marekani. Na tetemeko la ardhi laua zaidi ya mia mbili nchini Mexico.

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres (kulia) akimsalimia rais wa Israeli Reuven Rivlin wakati wa mkutano mjini Jerusalem August 28, 2017.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres (kulia) akimsalimia rais wa Israeli Reuven Rivlin wakati wa mkutano mjini Jerusalem August 28, 2017. REUTERS/Ronen Zvulun
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.