Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 17/07 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 17/07 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 16/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Baadhi ya Wabunge wa chama NRM waungana upinzani nchini uganda kupinga uwasilishwaji wa muswada tata

Baadhi ya Wabunge wa chama NRM waungana upinzani nchini uganda kupinga uwasilishwaji wa muswada tata
 
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni DR

Wabunge wa chama tawala nchini Uganda NRM, wameshindwa kuwasilisha mswada wa kuibadilisha katiba kuondoa kikomo cha umri kwa yeyote anayetaka kuwa rais nchini humo.

Baadhi ya wabunge wa chama tawala wameungana na upinzani kupinga uwasilishwaji wa mswada huu tata.

Mvutano mkali hapo jana bungeni ulisababisha vikao vya bunge kuahirishwa hadi Jumanne wiki ijayo. Una maoni gani kuhusu kinachoendelea nchini Uganda?

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana