Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mkutano mkuu wa Umoja wa mataifa watathminiwa

Imechapishwa:

Karibu katika makala ya habari rafiki tunaangazia mkutano mkuu wa Umoja wa mataifa unaofanyika nchini Marekani.Je wasikilizaji wanautathmini vipi umoja wa mataifa,unatimiza malengo yaliyokusudia kuanzishwa kwa taasisi hiyo ya kimataifa...

Viongozi mbalimbali wa dunia wamekutana nchini Marekani katika mkutano mkuu wa umoja wa mataifa UN
Viongozi mbalimbali wa dunia wamekutana nchini Marekani katika mkutano mkuu wa umoja wa mataifa UN REUTERS/Lucas Jackson
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.