Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Upinzani nchini Kenya watoa masharti mapya, vikao vya bunge kuanza nchini DRC

Imechapishwa:

Makala hii inaangazia masharti mapya ya muungano wa upinzani wa nchini Kenya, kufunguliwa kwa vikao vya bunge nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Serikali ya Tanzania yakanusha kuwa na ushirikiano wa siri na Serikali ya Korea Kaskazini, jiji la Paris nchini Ufaransa lateuliwa kuwa mwenyeji wa michezo ya olimpiki 2024, lakini Korea ya kaskazini na makombora yake pia tukio la kulipuka kwa bomu nchini Uingereza.

spika wa bunge la taifa la nchini DRC Aubin Minaku, Wakati akifungua vikao vya bunge Kinshasa september 2017
spika wa bunge la taifa la nchini DRC Aubin Minaku, Wakati akifungua vikao vya bunge Kinshasa september 2017 AFP Photo/Junior D.Kannah
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.