Habari RFI-Ki
Miaka 16 tangu shambulizi la september 11 bado vita dhidi ya ugaidi haijafanikiwa
Imechapishwa:
Cheza - 09:43
Ni miaka 16 sasa tangu kutekelezwa shambulizi la kigaidi la september 11 nchini Marekani na Afrika mashariki.Wadadisi wanasema hadi leo hakuna mtu aliyepatikana kuhusika moja kwa moja na kuhukumiwa kutekeleza shambulizi hilo.Je nini tathmini yako kuhusu vita ya ugaidi duniani?je inafanikiwa?Mashambulizi mengi ya kigaidi yanayotokea,mbali ya kusababisha vifo,imekuwa ikisababisha hasara katika mataifa,je kuna juhudi za kukabiliana na vitisho vya ugaidi?