Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/09 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/09 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/09 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Miaka 16 tangu shambulizi la september 11 bado vita dhidi ya ugaidi haijafanikiwa

Miaka 16 tangu shambulizi la september 11 bado vita dhidi ya ugaidi haijafanikiwa
 
Wamarekani wakikumbuka raia waliofarki katika shambulizi la september 11 2001 REUTERS/Brendan McDermid

Ni miaka 16 sasa tangu kutekelezwa shambulizi la kigaidi la september 11 nchini Marekani na Afrika mashariki.Wadadisi wanasema hadi leo hakuna mtu aliyepatikana kuhusika moja kwa moja na kuhukumiwa kutekeleza shambulizi hilo.
Je nini tathmini yako kuhusu vita ya ugaidi duniani?je inafanikiwa?
Mashambulizi mengi ya kigaidi yanayotokea,mbali ya kusababisha vifo,imekuwa ikisababisha hasara katika mataifa,je kuna juhudi za kukabiliana na vitisho vya ugaidi?

 • Mkutano mkuu wa Umoja wa mataifa watathminiwa

  Mkutano mkuu wa Umoja wa mataifa watathminiwa

  Karibu katika makala ya habari rafiki tunaangazia mkutano mkuu wa Umoja wa mataifa unaofanyika nchini Marekani.Je wasikilizaji wanautathmini vipi umoja wa mataifa,unatimiza …

 • Mauaji ya wakimbizi warundi nchini DRC yazua taharuki

  Mauaji ya wakimbizi warundi nchini DRC yazua taharuki

  Wakimbizi 37 wa Burundi wameuawa katika mapigano huko Kamanyola Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wakati wa maandamano kupinga kurejeshwa nyumbani kwa wenzao maafisa wamesema …

 • Siku ya kimataifa ya demokrasia

  Siku ya kimataifa ya demokrasia

  Katika makala haya utasikia maoni kuhusu siku ya kimataifa ya demokrasia na maana ya demokrasia . Karibu

 • Ripoti ya UN kuhusu afya duniani

  Ripoti ya UN kuhusu afya duniani

  Katika makala haya utasikia maoni kuhusu ripoti ya afya ya Umoja wa Mataifa duniani ambapo hakuna nchi hata moja kati ya 200 zilizofanyiwa utafiti zinazokaribia kufikia …

 • Hukumu ya kifo

  Hukumu ya kifo

  Katika makala haya utasikia maoni ya wachangiaji kuhusu hukumu ya kifo barani Afrika, iendelee ama ifutwe??Karibu

 • Waaajiri washauriwa kuwafanyia vipimo wasaidizi wa ndani

  Waaajiri washauriwa kuwafanyia vipimo wasaidizi wa ndani

  Leo katika makala haya utasikia maoni kuhusu ushauri wa polisi nchini Uganda kutaka waajiri wawafanyie vipimo vya kiafya na uhalifu wasaidizi wa ndani. Karibu

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana