Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mahakama ya juu ya Kenya yaagiza kufanyika uchaguzi mpya, DRC zoezi la kuwandika wapigakura kuanza septemba 04 jimboni Kasai
Imechapishwa:
Cheza - 21:06
Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri juma hili inaangazia hatua ya mahakama ya juu kufuta ushindi wa rais Uhuru Kenyatta, na kuagiza kufanyika kwa uchaguzi mpya wakati kule Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo Corneille Nangaa alisema kuwa zoezi la kuwaandika wapiga kura litaanza jumatatu ya septemba nne mwaka huu kule Kasai. Kimataifa rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alitangaza kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia zaidi na Afrika.