Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kurejea kwa rais Muhammadu Buhari kwaleta matumaini ya wanigeria

Imechapishwa:

Katika makala hii tunaangazia Kurejea nyumbani kwa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ambapo baada ya rais huyo kuingia madarakani wananchi katika nchi hiyo walikuwa na matumaini ya kumuona kiongozi wao anatekeleza ahadi za kupambana na rushwa, ukosefu wa ajira kwa vijana, lakini pia kuboresha masuala ya usalama.Bahati mbaya rais huyo alisumbuliwa na maradhi ya muda mrefu.Msikilizaji, je? kuna haja ya viongozi kuanza kupimwa afya zao kabla ya kuingia madarakani?

Baadhi ya viongozi wa Afrika wakiwa kwenye mkutano mjini Berlin wakiwa na mwenyeji wao, Angela Merkel, Juni 12 2017.
Baadhi ya viongozi wa Afrika wakiwa kwenye mkutano mjini Berlin wakiwa na mwenyeji wao, Angela Merkel, Juni 12 2017. John MACDOUGALL / AFP
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.