Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/07 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/07 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Kurejea kwa rais Muhammadu Buhari kwaleta matumaini ya wanigeria

Kurejea kwa rais Muhammadu Buhari kwaleta matumaini ya wanigeria
 
Baadhi ya viongozi wa Afrika wakiwa kwenye mkutano mjini Berlin wakiwa na mwenyeji wao, Angela Merkel, Juni 12 2017. John MACDOUGALL / AFP

Katika makala hii tunaangazia Kurejea nyumbani kwa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ambapo baada ya rais huyo kuingia madarakani wananchi katika nchi hiyo walikuwa na matumaini ya kumuona kiongozi wao anatekeleza ahadi za kupambana na rushwa, ukosefu wa ajira kwa vijana, lakini pia kuboresha masuala ya usalama.
Bahati mbaya rais huyo alisumbuliwa na maradhi ya muda mrefu.Msikilizaji, je? kuna haja ya viongozi kuanza kupimwa afya zao kabla ya kuingia madarakani?

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana