Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya aahidi kuenda mahakamani, Ufaransa yataka DRC kuandaa uchaguzi mwaka huu

Imechapishwa:

Katika makala hii tumeangazia hatua ya kinara wa upinzani nchini Kenya Raia Odinga kuahidi kuwa ataenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika agosti 08 mwaka huu nchini humo uchaguzi ambao ulimpa ushindi Uhuru Kenyatta, na huko DRC mjumbe maalum wa Ufaransa kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa aitaka serikali ya nchi hiyo kutangaza kalenda ya uchaguzi mwaka huu, kuapishwa kwa rais Paul Kagame wa Rwanda na hali mapigano nchini Yemen. 

Raila Odinga mgombea wa urais kupitia  muungano wa upinzani NASA
Raila Odinga mgombea wa urais kupitia muungano wa upinzani NASA star newspaper
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.