sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Matukio tuliyoyapa uzito wiki hii duniani
Rais wa DRC Felix Tshisekedi
 
Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 24/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 24/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 24/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka
Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May atangaza kujiuzulu

MONUSCO yaitaka DRC kuheshimu haki ya kuandamana

MONUSCO yaitaka DRC kuheshimu haki ya kuandamana
 
Waziri wa habari nchini DRC Lambert Mende REUTERS/Kenny Katombe

Baada ya Umoja wa Mataifa kuitaka serikali ya DRCongo kuheshimu haki ya raia kuandamana kama inavyoagizwa na katiba ya nchi hiyo, serikali kupitia waziri wake wa habari ambae pia ni msemaji wa serikali Lambert Mende amesema serikali inaheshimu haki ya raia kuandamana.
Hii inakuja wakati huu vyombo vya Usalama nchini humo vikiwatia nguvuni watu zaidi ya 120 waliojaribu kuandamana katika miji kadhaa ya nchi hiyo, ambapo umoja wa Mataifa unasema wengi wa waliokamatwa waliachiwa huru ispokuwa watano kutoka mashirika ya kiraia mjini Lubumbashi.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC

  Waratibu wa maandamano DRC kukamatwa, polisi yatoa takwimu za waliokufa

  Soma zaidi

 • DRC-UN-MAUAJI

  Serikali ya DRC kuhusishwa kwa mauaji ya wataalam wa Umoja wa Mataiafa

  Soma zaidi

 • DRC-USALAMA

  Mvutano wa kisiasa waendelea kushuhudiwa DRC

  Soma zaidi

 • DRC-KANISA KATOLIKI-KASAI

  Kanisa Katoliki nchini DRC lasema watu 3,383 wameuawa jimboni Kasai

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana