Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/01 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/01 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Wanaharakati wa shirika LUCHA waandamana kuitaka CENI kutangaza kalaneda ya Uchaguzi DRC

Wanaharakati wa shirika LUCHA waandamana kuitaka CENI kutangaza kalaneda ya Uchaguzi DRC
 
Vijana wanaharakati wa LUCHA wakiwa mbele ya mahakama ya mjini Goma, « Free Lucha », February 22 2016. RFI/Sonia Rolley

Makala habari rafiki hii leo imeangazia maandamano yaliyoitishwa na Wanahara kati wanaopigania mabadiliko ya kisiasa na demokra sia nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, LUCHA Jumatatu hii ya Julai 31 wakiitaka tume ya uchaguzi nchini humo CENI kuhakikisha inatangaza kalenda ya uchaguzi mwaka huu wa 2017.

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Corneille Nangaa alisema hakuna uwezekano wa kufanyika kwa uchaguzi mwaka huu, kwa sababu CENI haijakamilisha daftari la wapiga kura kwenye majimbo ya Kasai.

Karibu kuungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana