Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuzuru Nice, makaburi mapya ya pamoja yagundulika Kasai, DRC

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia maadhimisho ya sikukuu ya kitaifa nchini Ufaransa, maarufu kama fete nationale, ambapo rais wa Marekani Donald Trump amealikwa kama mgeni rasmi; mashambulizi dhidi ya soko kuu la Kinshasa nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, siasa za Kenya, Rwanda, na Sudan, wakati kimataifa pia tumegusia Korea ya kaskazini na mvutano wa kimataifa kuhusu makombora yake.

Rais Emmanuel Macron akihutubia mamia ya waombolezaji mjini Nice, mwaka mmoja baada ya shambulizi la kigaidi Julai 14-2017.
Rais Emmanuel Macron akihutubia mamia ya waombolezaji mjini Nice, mwaka mmoja baada ya shambulizi la kigaidi Julai 14-2017. REUTERS/Eric Gaillard
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.