Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Miaka 20 tangu kuangushwa kwa utawala wa Mobutu DRC

Imechapishwa:

Utawala wa aliyekuwa rais wa DRC (Zaire wakati huo) Mobutu Sese Seko ulianguka tarehe 16 Mei 1997. Siku iliyofuata, tarehe 17, vikosi vya wapiganaji wa kundi la waasi la AFDL viliingia kwa ushindi mkubwa katika mji wa Kinshasa, bila ya upinzani wowote kutoka jeshi la Mobutu (FAZ). Mei 16, historia inaeleza kuwa Mobutu alikua na hofu ya kuanguka kwa utawala wake. Je Demokrasia ipo DRC?kama alivyotaka hayati Kabila?Je baada ya miaka 20 kuna tofauti gani nchini humo?

Utawala wa aliyekuwa rais wa DRC (Zaire wakati huo) Mobutu Sese Seko ulianguka tarehe 16 Mei 1997
Utawala wa aliyekuwa rais wa DRC (Zaire wakati huo) Mobutu Sese Seko ulianguka tarehe 16 Mei 1997 Editions Perrin
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.