Utawala wa aliyekuwa rais wa DRC (Zaire wakati huo) Mobutu Sese Seko ulianguka tarehe 16 Mei 1997. Siku iliyofuata, tarehe 17, vikosi vya wapiganaji wa kundi la waasi la AFDL viliingia kwa ushindi mkubwa katika mji wa Kinshasa, bila ya upinzani wowote kutoka jeshi la Mobutu (FAZ). Mei 16, historia inaeleza kuwa Mobutu alikua na hofu ya kuanguka kwa utawala wake. Je Demokrasia ipo DRC?kama alivyotaka hayati Kabila?Je baada ya miaka 20 kuna tofauti gani nchini humo?
Vipindi vingine
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
Viongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia30/04/202410:00 -
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
Ukanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa30/04/202410:13 -
10:00
-
Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu
Umoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.25/04/202409:51 -
Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC
Umoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.23/04/202409:52