Utawala wa aliyekuwa rais wa DRC (Zaire wakati huo) Mobutu Sese Seko ulianguka tarehe 16 Mei 1997. Siku iliyofuata, tarehe 17, vikosi vya wapiganaji wa kundi la waasi la AFDL viliingia kwa ushindi mkubwa katika mji wa Kinshasa, bila ya upinzani wowote kutoka jeshi la Mobutu (FAZ). Mei 16, historia inaeleza kuwa Mobutu alikua na hofu ya kuanguka kwa utawala wake. Je Demokrasia ipo DRC?kama alivyotaka hayati Kabila?Je baada ya miaka 20 kuna tofauti gani nchini humo?
Vipindi vingine
-
09:41
-
Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
27/03/202409:48 -
Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?26/03/202409:57 -
09:31
-
Hatua ya Gambia kuondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake na wasichana
Mamia ya raia wa Gambia wakiwemo wanawake wamefanya maandamano juma hili kuunga mkono sheria inayohalalisha ukeketaji wa wasichana na wanawake20/03/202410:08