Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/04 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/04 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Miaka 20 tangu kuangushwa kwa utawala wa Mobutu DRC

Miaka 20 tangu kuangushwa kwa utawala wa Mobutu DRC
 
Utawala wa aliyekuwa rais wa DRC (Zaire wakati huo) Mobutu Sese Seko ulianguka tarehe 16 Mei 1997 Editions Perrin

Utawala wa aliyekuwa rais wa DRC (Zaire wakati huo) Mobutu Sese Seko ulianguka tarehe 16 Mei 1997. Siku iliyofuata, tarehe 17, vikosi vya wapiganaji wa kundi la waasi la AFDL viliingia kwa ushindi mkubwa katika mji wa Kinshasa, bila ya upinzani wowote kutoka jeshi la Mobutu (FAZ).

Mei 16, historia inaeleza kuwa Mobutu alikua na hofu ya kuanguka kwa utawala wake. Je Demokrasia ipo DRC?kama alivyotaka hayati Kabila?Je baada ya miaka 20 kuna tofauti gani nchini humo?


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC-MOBUTU-UTAWALA

  DRC yaadhimisha miaka 20 ya kuanguka kwa utawala wa Mobutu

  Soma zaidi

 • DRC

  Rais Kabila kulihotubia bunge baada ya kushauriana na wanasiasa

  Soma zaidi

 • DRC-SIASA

  Rais Kabila asema Waziri Mkuu mpya atateuliwa baada ya saa 48

  Soma zaidi

 • DRC-USALAMA

  Mapigano ya kikabila yasababisha vifo vya watu 20 Kasai ya Kati nchini DRC

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana