Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Upinzani nchini Kenya NASA wamtangaza Raila Odinga kuwa mgombea wake,
Imechapishwa:
Cheza - 21:02
Katika makala hii tunaangazia uteuzi wa aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga kama mgombea wa urais katika uchaguzi unaopangwa kufanyika nchini Kenya mwezi agosti mwaka huu, kusainiwa kwa makubaliano maalum kule DRC, kuendelea kwa kampeni ya uchaguzi nchini Ufaransa, lakini pia hukumu ya miaka kumi kutolewa dhidi ya mwanahabari wa Rfi Haussa Ahmed Abba.