Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Polisi wanane wauawa Tanzania, waziri mkuu DRC kuandaa serikali ya mpito, Korea kaskazini tayari kwa Vita na Marekani

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kutokea kwa mauaji ya polisi 8 pwani ya Tanzania, rais John Magufuli alaani, na waziri mkuu wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Bruno Tshibala akamilisha mikutano na wanasiasa wa pande zote kuelekea uundwaji wa serikali ya mpito, mataifa kumi ya Afrika yamekutana kujadili mpango wa kuundwa jeshi la pamoja. Kimataifa mapigano ya nchini Syria, kampeni za uchaguzi nchini Ufaransa, Korea Kaskazini yasema iko tayari kujibu mashambulizi ya Marekani.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.  

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, Dar es Salaam, Novemba 4, 2016.
Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, Dar es Salaam, Novemba 4, 2016. Screenshot/Azama TV
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.