Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Bruno Chibala ateuliwa kuwa waziri mkuu mpya wa DRC, Video ya vijana imbonerakure nchini Burundi yazua masikitiko

Imechapishwa:

Ni juma ambalo limekuwa na mambo mengi ikiwemo uteuzi wa waziri mkuu mpya wa DRC Bruno Chibala, Rwanda kufikia tamati ya juma la kumbukumbu ya mauaji ya kimbari, na kumalizika kwa mkutano wa kimataifa kuhusu maendeleo ya kibiashara kati ya ufaransa na mataifa ya afrika mashariki, kama Tanzania, lakini pia Marekani kushutumua Syria kuhusu matumizi ya silaha za kemikali.Kusikiliza zaidi ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka

Waziri mkuu mpya wa DRC Bruno Tshibala, mjini Kinshasa Aprili 4, 2017
Waziri mkuu mpya wa DRC Bruno Tshibala, mjini Kinshasa Aprili 4, 2017 JUNIOR KANNAH / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.