Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Hatimaye Yahya Jammeh aondoka nchini Gambia

media Yahya Jammeh, rais anayemaliza muda wake nchini Gambia, hatimaye amekubali kuachia ngazi baada ya kutawala nchi hiyo kwa kipindi cha miaka 22. REUTERS/Carlos Garcia Rawlins/Files

Hatimaye rais aliyemaliza muda wake nchini Gambia Yahya Jammeh ameondoka nchini humo jana Jumamosi baada ya kuitawala nchi hiyo kwa miaka 22

Akiwa ameambatana na rais wa Guinea Alpha Konde, Jammeh aliwapungia mikono wafuasi wake kabla ya kuingia ndani ya ndege isiyokuwa na nembo katika uwanja wa ndege wa Banjul

Kwa upande wake Mkuu wa Majeshi ya Gambia Jenerali Ousman Badjie ameiambia idhaa ya kiingereza ya rfi kuwa, yuko tayari kufanya kazi na rais mpya Adama Barrow lakini yuko tayari pia kumpisha mtu mwingine
 

Rais wa Guinea Alpha Conde, na mwenzake wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz walifanya ziara mjini Banjul, nchini Gambia siku ya Ijumaa kwa kujaribu kumshawishi kwa mara ya mwisho Yahya Jammeh ambaye amekubali kuondoka madarakani.

Kwa upande wake, Adama Barrow anatazamiwa kuwahutubia wananchi wa Gambia hivi karibuni kutoka hoteli ya mjini Dakar, nchini Senegal na anasema atarejea Gambia usalama ukiimarika.

 

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana