Habari RFI-Ki
Wanasiasa wa Upinzani nchini Burundi waomba kukutanishwa na serikali ana kwa ana
Imechapishwa:
Cheza - 09:41
Wanasiasa wa Burundi wamemuomba msuluhishi wa mzozo wa kisiasa Benjamin Mkapa kuwakutanisha ana kwa ana na serikali ya Burundi ili kufikia muafaka wa kudumu.Hatua hiyo ni baada ya msuluhishi kukutana na wanasiasa wa pande zote mbili juma hili.