Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/04 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/04 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka
Kundi la Islamic State (IS) ladai kuhusika na mashambulizi nchini Sri Lanka bila hata hivyo kutoa maelezo zaidi (Amaq)

Drc yakiri tishio la wapiganaji wa zamani M23 kuingia mashariki

Drc yakiri tishio la wapiganaji wa zamani M23 kuingia mashariki
 
Baadhi ya wapiganaji wa zamani wa kundi la M23 AFP PHOTO/ ISAAC KASAMANI

Serikali ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo imesema kuwa waasi wa zamani wa M23 walioko uhamishoni kwa miaka mitatu nchini Uganda wameingia jimboni Kivu kaskazini na kuendesha mashambulizi.

Serikali ya jimbo imelitaka jeshi kuimarisha usalama na kuchukua tahadhari,baada ya kuthibitisha kundi la wapiganaji hao wa zamani kuingia Congo wakiwa na silaha ambapo walikamatwa mpakani.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • DRC--M23-USALAMA

  Waasi wa zamani wa M23 waingia DRC

  Soma zaidi

 • DRC-M23-KENYA-UGANDA-WAKIMBIZI-MAKUBALIANO

  Wapiganaji wa zamani wa M23 warejeshwa DRC

  Soma zaidi

 • DRC-BENI-ADF-M23-Usalama

  DRC: waasi wa zamani wa M23 waishushia lawama serikali ya Congo

  Soma zaidi

 • DRC-Siasa-Usalama

  DRC : waasi wa zamani wa M23 waiomba serikali kuzingatia azimio la Nairobi

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana