Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Viongozi zaidi ya 40 wakutana katika mkutano wa 27 wa Africa na Ufaransa Bamako nchini Mali

Imechapishwa:

Makala hii inaangazia mkutano wa 27 wa viongozi zaidi ya 40 ambao wanakutana jumamosi hii kujadili maswala ya usalama na ya kijamii, mkutano ambao unaongozwa na rais wa Ufaransa Francois Hollande katika mji mkuu wa Mali, Bamako. Mkutano huu unafanyika wakati ambapo kuna hali ya wasiwasi nchini humo kufuatia kuwepo kwa makundi kadhaa ya wapiganaji wenye kushirikiana na magaidi katika eneo hilo. Pia tumeangazia hali iliyojiri wiki hii huko Burundi, DRC, Gambia, Rwanda, Uganda na maadhimisho ya miaka 53 ya mapinduzi visiwani Zanzibar, wakati kimataifa kauli ya katibu mkuu mpya wa umoja wa mataifa, Antonio Guterres. 

Rais wa Ufaransa François Hollande akihutubia mkutano wa kilele wa Ufaraansa na Afrika mjini Bamako
Rais wa Ufaransa François Hollande akihutubia mkutano wa kilele wa Ufaraansa na Afrika mjini Bamako Reuters/Luc Gnago
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.