Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 19/01 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/01 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Kauli ya CENI nchini DRC kuhusu uchaguzi mwaka 2017

Kauli ya CENI nchini DRC kuhusu uchaguzi mwaka 2017
 
Mwenyeki wa Tume huru ya Uchaguzi nchini DRC, Corneille Nangaa Yobeluo akihojiwa na wandishi wa habari jijini Kinshasa MONUSCO/Alain Wandimoyi

Mwenyekiti wa tume huru ya Uchaguzi nchini DRC Corneille Nangaa amesema tume yake iko tayari kuandaa uchaguzi katika mwaka 2017 ikiwa itawezeshwa.
Akizungumzia uwezekano huo kwenye ofisi kuu ya Seneti, Nangaa amesema tume ya uchaguzi ina uwezo wa kuandaa uchaguzi katika hali ya utulivu, na kwamba Julai 31 mwaka ujao watakuwa wamemaliza kuwaandika wapiga kura, hivyo kuna uwezekano wa kuitisha uchaguzi Oktoba 30, 2017.

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana