Mjadala wa Wiki
Maandamano ya mjini yasababisha hasara kubwa mjini Kinshasa, DRC
Imechapishwa:
Cheza - 14:48
Katika mjadala wa wiki, tunaangazia hali inayojiri nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, baada ya kushuhudia maandamano ya nchi nzima kama ilivyoitishwa na upinzani mwanzoni mwa juma hili, ambapo watu kadhaa wamepoteza maisha huku ofisi za vyama vya kisiasa zikichomwa moto.Kulizungumzia tumewaalika Reubens Mikindo ni mwenyekiti wa chama cha upinzani cha UDPS cha kinara wa upizani huko DRC-Etienne Tshisekedi mkowani Kivu Kaskazini akiwa Kinshasa, na Omari Kavota ni mwanaharakati wa haki za binadamu akiwa mjini Beni.