Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Upinzani DRC kuridhia mazungumzo chini ya upatanishi wa kimataifa
Imechapishwa:
Cheza - 21:08
Makala ya yaliyojiri wiki hii tumeangazia hatua ya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokra sia ya Kongo, kuwa tayari kwa mazungumzo na rais Joseph Kabila kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yafanyike chini ya usimamizi wa jumuiya ya kimataifa,hatua ambayo iliyochukuliwa baada ya kuhitimishwa mkutano wao wa mjiini Brusselsm Ubelgiji lakini pia mgogoro uliopo baina ya serikali ya kenya na upinazim CORD kuhusu tume ya Uchaguzi, wakati kimataifa tumegusia uchaguzi wa Marekani.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza makala.