Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 24/04 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/04 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka
Kundi la Islamic State (IS) ladai kuhusika na mashambulizi nchini Sri Lanka bila hata hivyo kutoa maelezo zaidi (Amaq)

Upinzani DRC kuridhia mazungumzo chini ya upatanishi wa kimataifa

Upinzani DRC kuridhia mazungumzo chini ya upatanishi wa kimataifa
 
Rais wa chama cha upinzani cha UDPS Etienne Tshisekedi akihutubia wapinzani mjini Brussels Ubelgiji juni 08 2016. THIERRY ROGE / Belga / AFP

Makala ya yaliyojiri wiki hii tumeangazia hatua ya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokra sia ya Kongo, kuwa tayari kwa mazungumzo na rais Joseph Kabila kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yafanyike chini ya usimamizi wa jumuiya ya kimataifa,hatua ambayo iliyochukuliwa baada ya kuhitimishwa mkutano wao wa mjiini Brusselsm Ubelgiji lakini pia mgogoro uliopo baina ya serikali ya kenya na upinazim CORD kuhusu tume ya Uchaguzi, wakati kimataifa tumegusia uchaguzi wa Marekani.
Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza makala.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • RDC-EDEM KODJO-MAZUNGUMZO-SIASA

  Edem Kodjo: kuanza kwa mazungumzo wiki hii DRC

  Soma zaidi

 • KENYA-SIASA

  IEBC yapinga kata kata kujiuzulu

  Soma zaidi

 • EAC-BAJETI

  Mawaziri wa Fedha kutoka EAC wawasilisha bajeti za nchi zao

  Soma zaidi

 • MAREKANI-CLINTON-SANDERS

  Sanders ashinikizwa kumuunga mkono Hillary Clinton

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana