KENYA-UCHAGUZI-SIASA
Kenya: Upinzani wailaumu Tume ya uchaguzi kwa kuwekwa kando
Upinzani nchini Kenya unaishtumu tume ya Uchaguzi nchini humo kwa kutowashirikisha katika mipango ya maandalizi ya uchaguzi Mkuu mwaka 2017.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Hatua hii inakuja baada ya tume hiyo kuzindua mpango wake wa miaka mitano kuelekea uchaguzi huo.
Muungano wa upinznai CORD umekuwa ukitaka Makamishena wa tume hiyo na mfumo mzima wa uchaguzi kubadilishwa kutokana na changamoto zilizshuhudiwa mwaka 2013.
Naibu Kamishena wa tume hiyo Bi Lilian Mahiri Zaja amesema wao waliwashirisha wapinzani.