Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 07/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 08/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 08/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Kijiji cha Bamba chadhibitiwa na makundi yenye silaha

media Bemba, pembezoni mwa mto Niger ni kijiji ambacho kinapatikana kwenye umbali wa kilomita 220mashariki ya Timbuktu na kilomita 245 kaskazini magharibi mwa mji wa Gao. Getty Images/Frans Lemmens

Tangu siku za hivi karibuni, makundi yenye silaha yamekua yakionekana kwa mara nyingine tena katika maeneo ya kaskazini mwa Mali.

Kulikuwa na uporaji, huku milio ya risasi ikisikika katika eneo hilo la kaskazini mwa Mali. lakini wakati huu usalama wa kijiji cha Bamba, kaskazini ya mji wa Gao, unalindwa na makundi mawili ya wanamgambo wa kikabila , ambayo yameyadhibiti maeneo ya mji huo.

Kikiwa kwenye umbali wa kilomita 245 kaskazini mwa mji wa Gao, katika eneo ambapo idadi ya askari ilikua ndogo, kijiji cha Bamba kiko chini ya himaya ya makundi mawili yenye silaha yenye uhusiano wa karibu na serikali ya Mali.

Makundi hayo yaliyotwaa udhibiti wa kijiji cha Bamba ni Gatia pamoja na MAA. Kundi la Gatia lina wanamgambo wengi kutoka jamii ya Watouareg wa Imghad.

Hayo yanajiri wakati ambapo mazungumzo kati ya serikali ya Mali na makundi yenye silaha yanaanza katika mji mkuu wa Algeria, Algiers.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana