Sudan Kusini yaadhimisha miaka 3 ya uhuru
Sudan Kusini inaadhimisha mitatu ya Uhuru wa taifa lao tangu walipojitenga na Sudan mwaka 2011.
Katika kipindi hicho chote, Sudan Kusini imekabiliwa na machafuko baada ya wanajeshi wa serikali kuanza kukabiliana na waasi wa aliyekuwa Makamu wa rais Riek Machar.
Tunajadili miaka mitatu ya Uhuru wa Sudan Kusini, je raia wa nchi hiyo wana lolote la kufurahia ?
Kuhusu mada hiyo hiyo