Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/04 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/04 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Afrika

Manasse Nzobonimpa mbunge wa Jumuia ya Afrika mashariki aelezea jinsi alivyo ponea chupuchupu

media  
Mbunge wa Jumuia ya Afrika Mashariki Manasse Nzobonimpa Burundintwari

Wanasiasa nchini Burundi mara kwa mara wamekuwa wakilalamikia hali ya usalama nchini humo, na kuhofia maisha ya wananchi na halikadhalika maisha yao.

Mbunge wa Afrika Mashariki Manasse NZOBONIMPA, ambvae siku za nyuma alitimuliwa kutoka chama tawala cha CNDD FDD kwa tuhuma za kutoboa siri za chama, ambvae kwa sasa anakabiliwa na hali duni ya usalama, wiki iliopita aliponea chupuchupu wakati alipokuwa katika ziara yake ya kikazi jiji Kampala Uganda. Mbunge huyo  amemsimulia mwandishi wetu wa Bujumbura Hassan Ruvakuki namna hali ilivyokuwa alipovamiwa.
 

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana